Clip hii ameipostiwa kupitia Acc ya Huddah Monroe (Kenya) muda mfupi uliopita, huku akiwa kwenye gari anaburudika na wimbo wa Daimond Platnumz (Tanzania). Video hii imeleta comment tofauti huku wengine wakiwa mention Diamond na Jokate, hii ni kutokana na Diamond alipopost Clip ya Jokate akiwa anacheza wimbo huo “Mdogo Mdogo” na kuandika “Mbona bado, Mtanyooka tu…” na kusababisha Jokate kulalamikia post hiyo, Bonyeza HAPA kutazama hiyo video na malalamiko ya Jokate.
Home »
» (Video) Huddah Monroe akicheza nyimbo ya Diamond Mdogo mdogo
(Video) Huddah Monroe akicheza nyimbo ya Diamond Mdogo mdogo
Posted by Dj wille zedon
Posted on 02:29
with No comments
0 comments:
Post a Comment