Rehema Chalamila (Ray C) amerusha kombola kwa wale ambao hawakumsupport Diamond na badala yake walikuwa wanatoa support kwa Mnaijeria (Davido), Rat C ameonesha kufurahia jambo hilo la Diamond kushinda Tuzo hiyo ya Mtv Mama 2015 huku akiandika maneno haya,
“Hongera dogo!wabongo bwana!mnaenda kumnaigeria mnamucha ndugu yenu!ona sasa Mungu alivyowazodoa!!!!!!tena mbaya zaid huyo mnaija mwenyewe anamkubali dogo!Ndio maana hatutaendelea kamwe!!!!Wana wivu hao!!!!!!hao hao!!!”
0 comments:
Post a Comment