Boss wa Young Money Lil Wayne na rapa aliyewahi kuwa Rich Gang Rich Homie Quan wameonekana studio pamoja na kuzua taarifa za collabo kati yao.
Wezzy na Quan walikuwa kwenye studio moja mjini Miami, Florida ijumaa iliyopita na video ya muda wao studio inaonyesha walikuwa wanasikiliza kazi waliofanya pamoja.
Baada ya album ya Free Wezzy kutoka mwezi huu Rich Homie Quan amesema Wezzy ni msawishi mzuri kwenye maisha yake.
0 comments:
Post a Comment