Rapa Snoop Dogg ni miongoni mwa rappers maarufu sana kwa kukamatwa kwa sababu tofauti wakiwa nchini za ugenini.
Weekend hii Snoop amekamatwa Sweden baada ya kumaliza show akiwa kwenye gari yake baada ya polisi kuhisi kuwa anatembea na dawa za kulevya kwenye gari.
Snoop anasema alipelekwa kwenye kituo cha polisi na kupimwa mkojo ilikutambua kama amekuwa akitumia dawa hizo ndani ya saa 24 alivyokuwa Sweden, Polisi hawakupata ushahidi wowote wa matumizi ya daa za Kulevya na walimuachia Snoop.
0 comments:
Post a Comment