TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Wande Coal tayari kwa album mpya

Wande Coal tayari kwa album mpya

wandecoal
Muimbaji kutoka Nigeria na bosi wa lebel ya Black Diamond Wande Coal,ameweka wazi kuwa album yake mpya iko tayari kutoka na kwamba wako kwenye hatua za mwisho kuikamilisha,
Wande amefahamisha mashabiki wake kupitia instagram akiwa studio na producer maarufu Afrika Maleek Berry.
“I hope you guys are ready?! In the studio with @maleekberry wrapping up! #iskaba”. The album would have over 18 tracks featuring legendary producer, Maleek Berry.
wandee
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger