Ilikuonyesha watu kuwa hajazeeka msanii wa pop Jennifer Lopez alivalia vazi hili kwenye sherehe fupi ya siku yake ya kuzaliwa wekend hii. Jennifer amefikisha miaka 46.
JLo alikuwa na mpenzi wake Casper Smart mwenye miaka 28 na rapa French Montana
0 comments:
Post a Comment