TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Unga kwenye video ya Davido ni biashara, Meneja wake atoa maelezo hapa.

Unga kwenye video ya Davido ni biashara, Meneja wake atoa maelezo hapa.

               
                        wpid-davido-fans-mi
Wiki chache zilizopita kikosi cha kupiga vita dawa z kulevya Nigeria [National Drug Law Enforcement Agency (NDLEA)] kilianzisha uchunguzi dhidi ya Davido na kitendo ha kuonyesha manunuzi ya dawa za kulevya kwenye video yake ya  ‘Fans Mi’ Ft Meek Mill.
Meneja wa Davido Kamal Ajiboye, amesema wazo la kuwa na unga kwenye video ya Davido sio dawa za kulevya ila ni kutangaza unga wa kula wa Yam ikiwa ni sehemu ya kufanya biashara kwenye video.
Kamal amesema badala ya vijana kuona dawa za kulevya zinauza na unaweza pat pesa nyingi, waone kuwa hata ukiuza unga wa chakula watu watanunua na kula kama anavyoonekana Davido mwisho wa video.
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger