TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Wiz Kid naye kawafungukia waandaji wa tuzo za BET,Kasema haya

Wiz Kid naye kawafungukia waandaji wa tuzo za BET,Kasema haya

                      Wizkid
Baada ya msanii kutoka Ghana Fuse ODG kuwachana waandaji wa Bet kwa kutoa tuzo za wasanii wa Afrika mapema kabla ya show na eneo wanalopokelea tuzokuwa ni back stage, msanii mwingine mkubwa wa Nigeria ‘Wiz Kid’ pia amefanya hivyo.
Kupitia kurasa yake ya twitter Wiz anasema hakuhudhuria tuzo hizo zilizofanyika jumapili ya tarehe 28 June sababu hakuona maana kama angepata tuzo angeipokea saa nne asubuhi kabla ya show, Wiz anaendelea kusema kuwa hana imani na tuzo sababu ni watu wamekuja pamoja kutayarishwa show yao t
               wiz 2
               wiz

         BET-Davido
Huyu Ni Davido akiwa na Mafikizolo alivyopokea tuzo yake Asubuhi kabla ya Show.
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger