Anaitwa R. City na sio marufu dunia nzima ila mpaka sasa ndio miongoni mwa watu walioandika nyimbo bora za wasanii Miley Cyrus’ “We Can’t Stop,” Nicki Minaj’s “Only,” na Rihanna’s “Pour It Up”. Video yake inaitwa Locked Away na amefanya na Adam Levine.
Hii kazi yake mpya.
0 comments:
Post a Comment