So So Def imerudi kwa kusnidno mwaka huu. Jermaine Dupri na Bow Wow wamekutana tena kwenye video mpya ya “WYA (Where You At?).” Huu ni wimbo wa Jermaine Dupri Ft Bow Wow.Wimbo upo kwenye album mpya ya J.D. The Dark Recesses of My Imagination, ambayo pia wameshirikishwa T.I., Nas, na Usher.
Home »
» Jermaine Dupri amerudi kwenye muziki,yuko na Bow Wow kwenye video ya ‘WYA (Where You At?)’
Jermaine Dupri amerudi kwenye muziki,yuko na Bow Wow kwenye video ya ‘WYA (Where You At?)’
Posted by Dj wille zedon
Posted on 01:49
with No comments
0 comments:
Post a Comment