Kupitia interview aliyofanyiwa na XXl Diamond Platnumz amesema “Barua iliyowekwa kwenye instagram ya x wa Zari ‘ King Lawrenc’ ni moja ya njia ya jamaa huyo ‘Ivan’ kujipatia umaarufu.
Diamond anasema ” Lazima tujue kuwa kila mtu anatumia mitandao kwa njia zake, wengine wanatumia kutafutia umaarufu tu, which is not bad but kupata umaarufu ni kazi sio, mtu anatafuta umaarufu na waru wakamsikiliza na kupata pongezi kwa sababu amekaa amebuni kitu mpaka watu wakamsikiliza” .
Diamond alimalizia kwa kusema “ Zari hajawahi kuolewa, ni stori tu hizo, lakini hajawahi kuolewa, ukimuuliza mwenyewe anasema hajawahi kuolewa kabisa” .
>Ukiwa na mahusiano na mtu huwezi fuatilia vitu vyake vya nyuma, tumeanza maisha yangu mimi na yeye sidhani kama umeshaona post yangu yoyote ya kumzungumzia vibaya ndio maana nikiona vitu ambavyo navisikia naona ni uongo, mimi sifuatili maisha ya mtu” .
0 comments:
Post a Comment