Ne-yo amewasili rasmi nchni Kenya katika msimu mpya wa Coke Studio Afrika ambapo anategemea kufanya Collabo na Msanii kutoka Tanzania (Ally Kiba).
Ne-yo akiwa na Wafanyakazi wa Kenya Airways
Ne-yo akiwa na Wafanyakazi wa Kenya Airways
Katika Mtandao wa Instagram Coke Studio wameandika “Mwanamuziki maarufu kutoka Amerika @Neyo ajumuika na wasanii wa Coke Studio Africa kutoka Tanzania, Kenya, Uganda, Nigeria na Mozambique. @officialalikiba @wangechikenya @mauricekirya @iceprincezamani @ddobling #CokeStudioAfrica”.
0 comments:
Post a Comment