TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Jay Z alirekodi diss track kwaajili ya 2 Pac,iko wapi,nani kaisikia,Jayz kasemaje? viko hapa.

Jay Z alirekodi diss track kwaajili ya 2 Pac,iko wapi,nani kaisikia,Jayz kasemaje? viko hapa.

jay-z-tupac
Kabla ya beef kubwa ya Nas na Jay Z, imeripotiwa kuwa palikuwa na beef kati ya Jay Z na 2 Pac.
Mtu wa karibu na Jay Z kikazi DJ Clark Kent amethibitisha kuwa palikuwa na wimbo wa Jay Z ambao ni diss kwa Tupac.
Clark anasema “Wimbo haukutoka kutokana na kifo cha 2 Pac, ulivyokamilika tu na kuwa tayari kutoka ,2 Pac alifariki,  ila Jay z aliufanyia show kwenye ukumbi mkubwa wa Apollo nchini Marekani, Jayz Alishindwa kuvumilia na akamua kufanyia show ”
Jay Z alithibitisha taarifa hizi mwaka 2006 kwenye jarida la XXL. ” ila Jay anasema hakurekodiwa akiimba wimbo huo na aliimba juu ya biti ya BLACKstreet “No Diggity” ,wakati naimba wimbo huo sijui kwanini waliacha kurekodi na watu 2000 tu ndio wanajua mashairi ya wimbo huo, ni vesi mbili tu ”
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger