Rapa Master P ametangaza ujio wa filamu ya maisha yake iliyopewa jina Ice Cream Man: King of the South.
Filamu hii itatoka kupitia lebel yake ya No Limit Forever Films na itaonyesha maisha yake kama kiongozi wa lebel ya wasanii wa rap ya No Limit record label.
Stori imeeandikwa na Master P, Parde Bridget na Wayne Conley na inatoka 2016. Hii ni baada ya filamu ya Dr Dre N.W.A-Straight Outta Compton kutoka.
0 comments:
Post a Comment