Ally Kiba na Jokate
Ally Kiba na Jokate wako nchini Kenya Kwenye Coke Studio, Wawili hao wameonyesha ukaribu mkubwa wakiwa nchini humo. Jana pia walikuwa pamoja studio wakati Ally Kiba akirekodi nyimbo na Sauti Sol.
Ally Kiba anaanza kupata matunda ya kuwa na Jokate karibu baada ya Jokatekumkutanisha Ally Kiba na Ice Prince…
Ally Kiba akiwa na Ice Prince,Jokate na Ne-yo
Katika Mtandao wa Instagram Jokate ameandika “Forever My G. Ma Nig Fly Boi Choc Boi @iceprincezamani Leo Leo Video Loading. But First I Asked Him To Record A Song With Ali Like Tonite. He’s Like Lets Do This. LoL. #Tanzania #Nigeria #Afrika #Kidoti,”.
0 comments:
Post a Comment