Mwanamuziki Shilole ambaye anatumikia kifungo cha mwaka mmoja kilichotolewa na Baraza la Sanaa Basata ya kutojihusisha na shughuli za kisanaa amesema ” sanaa ndiyo kazi inayompatia kula na hata kuwasomesha watoto wake hivyo kumfungia mwaka mzima ni kama kumtuma kutembea na waume za watu ili maisha yake yazidi kusonga“.
Shilole asema kuwa mpango wake wa kwenda kufanya show marekani upo pale pale japo amegoma kuzungumzia kuhusu adhabu yake.
0 comments:
Post a Comment