TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » »

CHAMELEONE NI NOMA KWA PESA ANGALIA HAPA ANAHESABU VIROBA KUMI KWA MASHINE AWAFUNGA MIDOMO WANAMUZIKI WA TANZANIA ANGALIA HAPA USHUHUDIE MWENYEWE..!

Mkali wa nyimbo ya Tubonge kutoka Uganda, Jose Chameleone ambaye ni mmoja kati ya wanamuziki wa Afrika anayetajwa kuwa ana utajiri mkubwa sana, ameonyesha jeuri ya pesa kwa kuzihesabu kwa kutumia mashine.
Kwenye hii picha Jose Chameleone anaonekana akitumia mashine ya kuhesabia pesa akizihesabu dola mia za kimareakani zikiwa kwenye mafungu makubwa ndani ya begi.
Ads not by this site

Zaidi ya pesa hizo pia Chameleone anamiliki nyumba ya kifahari, magari kama Escalade na mengine pamoja na vitega uchumi.


  Chameleone kama anavyojiita, Dr Mayanja anapata kiasi kikubwa cha pesa kwa kufanya matamasha sehemu mbalimbali duniani pamoja na kuandaa yake binafsi.
Kama wiki hii ameandaa tamasha kubwa ambalo amelipa jina la Tubonge East African concert linalotegemewa kushirikisha wasanii wa africa mashariki na hadi sasa limeshadhaminiwa na makapuni makubwa ya Uganda.

Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger