HIZI NDIO TATOO 2 MPYA ALIZOCHORA DIAMOND, ZICHEKI HAPA.
Msanii nyota kutoka Bongo Diamond
Platnumz ameonekana akiwa na tattoo nyingine mbili kwenye mwili wake
tofauti na zile alizochora akiwa China. Tattoo hizo kama ukiitizama hii
picha ya juu vizuri utaona kuna tattoo iliyoandikwa CHIBU pamoja na
mkononi hapo iliyoandikwa SANDRA.
Siku ya tarehe 15 mwezi huu mchora tattoo maarufu hapa Bongo alipost picha hii akiwa na Diamond na kuandika status hii nainukuu
“A late night Tattoo session
(4am) with a friend who is our very own Diamond Platinumz. Next session
Pizza on me (lol), stay blessed. Shout out Romeo Romy Jones, one love.”
So inaonyesha kabisa kuwa tattoo hizi mbili Diamond alizichora kwa master huyu anayejulikana kwa jina la BOAZ ndiye aliyemchora Diamond.
0 comments:
Post a Comment