TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » award

award

[News:Picha] “Westigate Terror Attack Photographer”, ashinda AWARD kwa Picha za Matukio ya Uvamizi Huo

20140416-110610.jpg
Photographer ambae mwenye makazi mjini Nairobi ameshinda “Pulitzer Award” kwa kazi aliyoifanya ya kupiga picha katika uvamizi uliofanywa na majasusi wa Al-shabaab katika Mall ya Westgate mjini Nairobi Nchini Kenya.
20140416-104618.jpg
Ikiwa Film Actors wanashinda OSCARS and MTV Movie Awards, TV Personality wanashinda EMMYS, Wanamuziki wanashinda GRAMMYS na Journalist nao wana award yao ijulikanayo kama Pulitzer Prize.
20140416-105033.jpg
Award hii ambayo ilianzishwa mwaka 1917 na Joseph Pulitzer, The Pulitzer award ni kwa ajili ya wana habari ambao wanasherehekea mafanikio ya kuripoti matukio mbali mbali na mengine makubwa kama vita na uvamizi wa majasusi kama iliyotokea katika Mal ya WESTGATE mjini Nairobi hivi karibuni.
20140416-105138.jpg
Washindi hao ambao ealitangazwa jana ndani ya COLUMBIA University New York City Nchini Marekani na mpiga picha huyo ajulikanaye kwa jina la TYLER HICKS kutoka NEW YORK TIMES ambae makazi yake ni mjini Nairobi Nchini Kenya alijinyakulia ushindi wa “Pulitzer award” kwenye Category ya “Breaking News Photography” na hii ni kutokana na picha ambazo zimeonyesha ufundi na umakini ambao aliufanya wakati akipiga picha hizo wakati wa “Terrorist Attack” iliyofanyika ndani ya WESTIGATE Mall mjini humo.
20140416-110449.jpg
20140416-110648.jpg

 
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger