EXCLUSIVE : HUYU NDO BABA WATOTO NA MME MTARAJIWA WA SNURA MAJANGA. MCHEKI HAPA
Kwa
wale msimjua mme mtarajiwa wa Snura aka mama wa majanga basi huu ni
wakati wenu wa kumjua kwani mipango ya harusi ishaiva na siku si nyingi
tutawalia wali. Shemeji yetu anaitwa Hunter au wengi hupenda kumwita Dj
Hunter ni dj wa club za Maisha Club.
Kwa sasa anafanya kazi Maisha ClubMbeya na wamefanikiwa kupata mtoto mmoja na Snura. So mkae tayari ndoa ni siku yeyote ile.