ILE REDIO 93.7 INAYODAIWA KUWA YA LADY JAY DEE USAILI UNAFANYIKA MDA HUU VIJANA WENGI WAFURIAKA
Muda huu hapa 93.7 FM iliyopo pande za
Kawe katika jengo la K-Net House kuna usahili wa madj pamoja na
watangazaji, vijana ni wengi toka asubuhi wamefurika hapa na mpaka mida
hii watu bado wanaongezeka. Haujachelewa kijana bado nafasi zipo mpaka
jioni huwezi jua leo unaweza ukatimiza ndoto yako.
CREDIT DJ willezedon blog
0 comments:
Post a Comment