TAZAMA PICHA ZA SIKU YA UZINDUZI WA VIDEO YA GERE YA WEUSI PAMOJA NA KEREWA TOUR YA SHETTA HUKO MWANZA CLUB JEMBE..
Sheta aka Baba Kayler akisumbuka na shabiki wake kucheza style ya kiduku swaga. |
Wow you C..!!!? |
Sheta doing his thing. |
Pozi la 'Picture' kwa www.tza1961.blogspot.com |
Hizi ni kubung'kubaaaaa!! |
Respect kwa Brotherz and Sisterz mliokuja Jembe. |
'You know then' |
Zile swagx za Changamkaa eh bana eeeh siyo za kutengeneza wala 'kameratrik' Jamaa alikamua ile ile. |
Ilikuwa ni some times kushangaa some times shangwe kwake!! |
Of coz unawajua!! |
Gsengo and Dr. Jembe. |
Kwa mbaaaaaaaali ni wadau wanaogonga video kali na audio kali 'dunia nzima' toka Rock City FX Records. |
Peace yoooooo! |
Kwa mara ya Kwanza kwanza kabisaaaa Video mpya ya wimbo Gere toka kwa kundi la WEUSI ilitambulishwa rasmi. |
0 comments:
Post a Comment