WAFAHAMU MASTAA WABONGO 10 WALIYOPATA UMAARUFU KUPITIA MIGONGO YA WATU (WATOTO WA MJINI WANASEMA MIDANANDA
leo Nimeamua ikuletee list ya watu 10 ambao now days wamekuwa maarufu
kupitilizalakini umaarufu wao wote umetokana na mtu fulani inamaana bila
fulani wasingekuwa maarufu na kuzungumzwa katika jamii tuliyopo. tuanze
countdown yetu kwa kuanzia namba 1 hadi namba 10.
1. Agnes Masogange
Huyu alijipatia bahati ya kufahamika kwa kasi
baada ya msanii belle 9 kumtumia kwenye nyimbo yake ya masogange ambayo
Agnes alicheza kama Masogange, hadi Leo anafahamika kwa jina la
masogange, ni kati ya watu wanaozungumzwa sana mitandaoni. Kesi yake ya
madawa ya kulevya ilimuweka kwenye ulimwengu wa mastaa.
2. Romy Jones
Huyu jamaa ni ndugu wa Diamond.
Amefahamika sana baada ya kuwa karibu na mwanamuziki Huyo, japokuwa ana
maringo na nyodo kuzidi Diamond. Na yeye huyu sio mwanamuziki wala
mcheza filamu.
3.Penny
Huyu bidada ni mtangazaji
wa Dtv. Alikuwa hafahamiki apo awali, Jina lake lilivuma sana na
kujikuta akiingia kwenye ulimwengu wa mastaa baada ya kujihusisha
kimapenzi na msanii Diamond, ni miongoni mwa watu wanaofuatiliwa sana na
kuzungumzwa.
4.Mange kimambi
Huyu alipata umaarufu kupitia mastaa kadhaa wa Tasnia mbali mbali apa bongo, alianza kuzinguana kwenye blogs
na msanii wa maigizo Sintah, Ray( kuhusu kifo cha Kanumba), Shigongo na
wengine kadhaa, wengi walitaka kumjua ni mtu wa aina gani baada ya
kuanzisha bifu na mastaa wa bongo, hatimaye akajikuta akiogelea
umaarufu.
5.Chaga Barbie
Huyu alijipatia umaarufu
baada ya kujihusisha kimapenzi na msanii wa Kenya Prezzo, jina lake
lilivuma zaidi pale walipozinguana na Prezoo hadi kufikia hatua ya
kutoleana maneno mbofu mbofu mitandaoni. Ni kati ya watu wanaofuatiliwa
sana mitandaoni.
6.Petit man wakuache
Huyu jamaa amefahamika kupitia Wema Sepetu,
jina lake limevuma na kutajwa tajwa sana baada ya kuwa karibu na madame.
Sio muigizaji wala mwanamuziki.
7.Najma
Huyu ni ex wa Mr blue, nae alianza kufahamika baada ya kujiingiza kwenye mahusiano na msanii huyo. Scandal
yake ya kutoka na Diamond ilimuongezea credit kwa kiasi flan na
kumfanya aongelew sana mitandaon, alishawah kujarib mziki pia na filamu.
8.Clement
Picha yake haijapatikana mpaka leo |
huyu alifahamika baada ya kujiingiza kwenye mahusiano na super star
Wema Sepetu, ni kati ya watu wanaozungumzwa sana mitandaoni hadi kesho,
japokuwa sura yake haifahamiki kihivyo, bado watu wanapenda kujua
kuhusu yeye na maisha yake.
9.Ostadh Juma
Watu mjini wanatafuta umaarufu kwa kasi, baada ya kuzipata pesa kwa wingi , aliamua Ku manage wasanii kama PNC, dogo Janja na wengine japokuwa hana management skills
nzuri. Kumrudisha dogo Janja dar es salaam na kumweka kwenye kundi lake
la watanashati entertainment pamoja na kumpiga picha PNC alipokuwa
akijaribu kumuomba msamaha kumemfanya aongelewe zaidi na kufuatiliwa
maisha yake mbaya zaidi hadi ya wazazi wake kitu ambacho kimem cost kwa
kiasi Fulani.
10. Kajala Masanja
Kwenye mtandao wa
instagram ana followers karibia elfu thelathini na kitu, wote wametokana
na promo ya maana kwa shoga yake Wema Sepetu, kutolewa rumande na Wema
Sepetu kumemuongezea umaarufu zaidi na kuwa miongoni mwa watu
wanaozungumzwa sana, jina la kajala limekaa sana mdomoni mwa Wema
Sepetu, hivyo kumfanya apate mashabiki wengi zaidi kupitia Wema. Ni
mcheza filamu za kibon
Pakia zaidi...