HAWA NDIO NYOTA 10 MUHIMU TUTAKAO WAMISI KOMBE LA DUNIA BRASIL KUTOKANA NA MAJERUHI
Kombe la Dunia litakalo fanyika Brazil majira ya kiangazi mwaka huu ni ndoto ya kila mchezaji ambayo anataka itimie kuna wengine wameshindwa kushiriki kutokana na timu zao hazikufuzu lakini kunawengine timuzao zimefuzu lakini hawataweza kushiriki kutokana na majeruhi watakuwa wanaangalia wenzao wakicheza uwanjani kupitia tv
DJ WILLEZEDON BLOG inakuletea top 10 yawachezaji ambao timu zao zimefuzu lakini hawataungana na wezao kutokana na majeruhi nao ni..
10. Robbie Kruse – Australia
Huyu
ni staa mwenye umri wa miaka 25 kutoka Austraria anayecheza nafasi ya
kiungo katika klabu ya Buyern Luverkusen naye atazikosa fainali zitakazo
fanyika Brazil ambayo timu yake po kundi moja na Spain, the Netherlands, na Chile.
9. Makoto Hasebe – Japan
Ni
kapteni wa timu ya taifa ya japan anaye chezea klabu ya Fc Nurnberg
inayoshiriki Ligi daraja lapili nchini Ujerumani maarufu kama
2.bundesliga aliumia january kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Steaua
Bucuresti timuyake ipo kundi moja na Colombia, Cote d’Ivoire Greece
8. Bruma – Portugal
huyu
ni winga mwenye umri wa miaka 19 anayechezea klabu ya gaziantepspor kwa
mkopo akitokea Galatasaray naye atikosa nmichuano hii kutokana na
majeruhi
7. Holger Badstuber – Germany
Mlinzi huyu wakati kisiki wa BayernMunich msimu huu mzima alikuwa nje kutokana na majeruhi ya mda mrefu naye atazikosa fainali za kombe la Dunia Brazil
7. Holger Badstuber – Germany
Mlinzi huyu wakati kisiki wa BayernMunich msimu huu mzima alikuwa nje kutokana na majeruhi ya mda mrefu naye atazikosa fainali za kombe la Dunia Brazil
0 comments:
Post a Comment