TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » JOKET

JOKET

Kwa Watoto Wa Kiume, Kama Unataka Kulifaidi Penzi La Mwanadada Jokate Basi Hizi Ndizo Sifa Anazozitaka Kutoka Kwa Mwanaume

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEic4BgoGqre2JJnm4yxkVuKvLqtbKjDuxRd78OFiTSHeR3TRsgwKOPORJbLIQFy5Efjh8bAKd18G7JBR2RjwxlYxYnmexMDsCrhyphenhyphen7KpPXgFNFk9LiMAvoBHZWYOQVJaIcBzHGpEL0tq6Kuf/s400/JOKATE.jpg 
MTOTO mzuri kunako anga la watangazaji Bongo, Jokate Mwegelo ameibuka na kuanika sifa za mwanaume ambaye anafaa kuwa mume wake

Akipia stori na paparazi wetu juzi jijini Dar, Jokate alisema anapenda mwanaume ambaye atajua kutafuta fedha kwa nguvu zote, awe anajua kubembeleza na awe na nidhamu kwa wazazi wake.

“Sifa ya mume ninayemtaka, anapaswa kuwa mtafutaji wa fedha, sipendi mwanaume asiyependa kutafuta, awe anajituma kwa kazi zake na kwa mpenzi au familia yake na pia ajue kunibembeleza,’’ alisema Jokate.

Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger