TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » scolari

scolari

SCOLARI AONYESHA MAKALI AWATEMA MASTAA KIBAO AKITANGAZA KIKOSI CHA NYOTA 23 WA KWENDA BRAZIL WORLD CUP


Kocha Mkuu wa Brazil, Luis Felipe Scolari leo ametangaza kikosi chake kwa ajili ya Kombe la Dunia na Brazil ndiyo wenyeji.

Scolari ametangaza kikosi hicho hukua akiacha lundo la wachezaji nyota wakiwemo Kaka na Robinho wa AC Milan na Lucas wa Liverpool.
Lakini katika kikosi hicho cha wachezaji 23 wanaokipiga sehemu mbalimbali duniani, Scolari amechukua sita wanaokipiga katika Ligi Kuu England.
KIKOSI KAMILI:
MAKIPA: Julio Cesar (Toronto FC, on loan from QPR), Jefferson (Botafogo), Victor (Atletico Mineiro)
MABEKI: Dani Alves (Barcelona), Maicon (Roma), David Luiz (Chelsea), Thiago Silva (PSG), Dante (Bayern Munich), Marcelo (Real Madrid), Henrique (Napoli), Maxwell (PSG).
VIUNGO: Oscar (Chelsea), Fernandinho (Man City), Willian (Chelsea), Paulinho (Spurs), Ramires (Chelsea), Luis Gustavo (Wolfsburg), Hernanes (Inter Milan).
WASHAMBULIAJIA: Bernard (Shakhtar Donetsk), Neymar (Barcelona), Fred (Fluminense), Hulk (Zenit St Petersburg), Jo (Atletico Mineiro).
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger