TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » fande Sele na stori ya asili ya muziki TZ.. Fid Q anaitamani siasa? kuna kingine kipya kuhusu msimu mpya wa BSS…#255

fande Sele na stori ya asili ya muziki TZ.. Fid Q anaitamani siasa? kuna kingine kipya kuhusu msimu mpya wa BSS…#255


Home » Entertainment » Afande Sele na stori ya asili ya muziki TZ.. Fid Q anaitamani siasa? kuna kingine kipya kuhusu msimu mpya wa BSS…#255

January Makamba - Tanzania Mpya

Afande Sele na stori ya asili ya muziki TZ.. Fid Q anaitamani siasa? kuna kingine kipya kuhusu msimu mpya wa BSS…#25

fiveee
Wa kwanza kusikika kwenye 255 ya leo kwenye show ya XXL @CloudsFM ni Afande Sele ambaye amezungumzia kuwa asili ya muziki wa Tanzania inatokea Morogoro na nyanda za juu ikiwemo Songea ambapo wenyeji wengi ni Wangoni.
Pia amesikika rapper Fid Q ambaye amezungumzia mchakato kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ujao TZ.. Unadhani jamaa yuko tayari kuupokea Ubunge au kuivaa siasa?
Fid kasema haoni kama  siasa inamshinda ila anaogopa uongo uliopo kwenye siasa.
Msimu mwingine wa BSS upo njiani kuanza na good news ni kwamba kila kitu safari hii kitaoneshwa kupitia Clouds Tv.
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger