Mengine mazuri ya kujionea kwenye hii BMW toleo jipya kabisa !! (PICHAZ), BMW ni moja ya magari ambayo yana hadhi ya juu sana duniani… Hata bei yake pia iko juu mtu wangu. Kwa hapa Bongo mmoja ya Mastaa wanaotembelea gari aina ya BMW ni Diamond Platnumz. Hapa nimepata PICHAZ 15 za toleo jingine jipya kabisa la BMW Series7.
0 comments:
Post a Comment