Jinsi alivyokamatwa Rick Ross na marijuana jana usiku,gari alilokuwa nalo,viko hapa.
Jumatano ya 10 June 2015 rapa kutoka Miama Rick Ross alikamatwa na askari kwa kosa la kuwa na vio vyenye ‘Tinted’ na kusikia harufu ya bangi, baada ya msako mkali kwenye gari yake alikutwa na misokoto mitano ya marijuana.
Rozay alikuwa anaendesha gari aina ya Bentley na sasa limekamatwa na polisi na yeye yuko sero.Hii ni mara ya pili anakamatwa na marijuana.
0 comments:
Post a Comment