Rapa Tyga amefumaniwa akijaribisha gari la Kifahari aina ya Bugatti kabla hajalinunua akiwa na mwanamke mwingine kwenye gari hio na sio mpenzi wake ambaye ni Kylie Jenner.
Tyga alikuwa na mpango wa kununua gari hilo lenye thamani ya dola milioni $1.5 ila baad aya kulijaribisha alirudi kwenye Range Rover yake na kuondoka.
0 comments:
Post a Comment