Mwanasoka mstaafu David Beckham amepata dili la kuigiza kama ”Blackleg leader” kwenye filamu ya mshkaji wake Guy Ritchie itakayoitwa ‘Knights of the Roundtable: King Arthur’.
Beckham atakuwa na mastaa kama Charlie Hunnam, Jude Law, Eric Bana na Poppy Delevingne.
Beckham ’40’ ni mwanasoka mwenye heshima kubwa duniani kwa soka lake na timu ya taifa ya Uingereza, Manchester United, Real Madrid na LA Galaxy .
0 comments:
Post a Comment