Rapa Iggy Azalea amesema bado yeye i rafiki mzuri tu wa msanii mwenzake Britney Spears ataka kama vyombo vya habari vinataka tuwe na beef na vinatuchonganisha.
Britney na Iggy walifanya wimbo pamoja wa “Pretty Girls” ila haukupata muda wa hewani wa kutosha kwenye radio na tv sababu ikitajwa kuwa ni uvivu wa Britney Spears.
Azalea amesema hakumaanisha kuwa ni Britney ndio kafanya wimbo usiwe hit ila maneno yake yali tafsiriwa vibaya na vyombo vya habari.
0 comments:
Post a Comment