Ata baada ya kuanzisha mahusiano mapya na watu tofauti Rihanna bado anakiri kuwa Chris Brown ndio penzi la maisha yake.
Chanzo cha info hizi kimesema Rihanna amemwambia mpenzi wake mpya ambaye ni mwanasoka Karim Benzema kuwa bado anahisia za mapenzi kwa X wake Chris Brown.
Karim Benzema ’27’ ameonekana kuwa huru na wazi kuhusu Rihanna bila kujali kuwa bado anamkubali Chris Brown.
HollywoodLife.com wameandika “Rihanna anampenda Karim sababu jama anatengenea mazingira mazuri ya penzi lao, Rihanna kamwambia Karim kuwa hatavunja moyo wake ila bado anampenda Chris Brown“.
0 comments:
Post a Comment