Mwana dada Christine Chisholm amefungua kesi dhidi ya rapa 2 Chainz baada ya kuaibishwa na kuchafuliwa na rapa huyo alivyokuwa kwenye back stage ya show ya 2 Chainz
Christine alialikwa na Cap 1 ambaye ni rafiki wa 2 Chainz ila baada ya kuingia eneo hilo aliitwa kwa majina ya kukosema heshima kama ‘Thot’ neno ambalo hutumika kama “Kahaba”.
Kwenye hii video Christine Chisholm akiongea na 2 Chainz huku wakimtukana na kumcheka, Christine anasema amepoteza kazi yake na watu wanamponda kwa kile kilichotokea.
2 Chainz sasa anakabiliwa na kesi ya madai ya dola milioni
0 comments:
Post a Comment