Rapa Tyga ameteka vichwa vya habari wiki hii baada ya picha yake inayoonyesha sehemu zake za siri kutumwa kwa Mia Isabella. Mia ni mwanamitindo aliyebadilisha jinsia yake.
Tyga na mwanasheria wake wameomba FBI kuchunguza nani ameingia kwenye account ya Tyga na kuchukua picha zake za siri.
Lee Hutton ambaye ni mwanasheria wa Tyga amesema picha hizo zimevujishwa ilikumchafua na kumuaibisha Tyga
0 comments:
Post a Comment