Rapa Warren G ametangaza ujio wa kazi mpya na kurudi kwenye muziki. Warren G amesema album yake mpya ya Regulate…G-Funk Era Part II itamshirikisha marehemu Nate Dogg.
Album hii ya Warren G ‘Regulate…G-Funk Era Part II’ itatoka August 6 kwa mujibu wa Billboard. Wimbo wa kwanza kutoka utakuwa “My House,” Ft Nate Dogg. Wasanii kama E-40, Too $hort, Young Jeezy, Bun B watakuwepo.
Album hii ni muendelezo wa album yake ya mwaka 1994 Regulate…G-Funk Era.
0 comments:
Post a Comment