TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Msanii wa Afrika aliyepata nafasi ya kuweka kazi zake kwenye TIDAL Ya Jay Z.

Msanii wa Afrika aliyepata nafasi ya kuweka kazi zake kwenye TIDAL Ya Jay Z.

                   

                               D-Black

Mwana muziki kutoka Ghanaian D Black amekuwa miongoni mwa wasani wakubwa duniani kupata nafasi ya kazi  zao kusikilizwa na kutazamwa kupitia mtandao wa Jay Z wa TIDAL.
Hii itakuwa nafasi nyingine ya msanii D Balck kutengeneza pesa mtandaoni kwenye mtandao huu unaomilikiwa na Jay Z huku wasanii wengine wakubwa kama Beyonce, Usher, Rihanna, na Nicki Minaj wa kiwa hisa.
Mpaka sasa TIDAL mpaka sasa ina nyimbo milioni 30 na watumiaji laki saba.
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger