Mwimbaji wa muziki kutoka Nigeria Runtown amekamilisha utengenezwaji wa video yake na Wizkid ‘Bend down pause.’
Video imefanyika Marekani mjini California na kuongozwa na director kutoka Jamaican anayetengeneza filamu Jay Will. Runtown akiwa Marekani amethibitisha kufanya collaboration na DJ Khaled.
Video imefanyika Marekani mjini California na kuongozwa na director kutoka Jamaican anayetengeneza filamu Jay Will. Runtown akiwa Marekani amethibitisha kufanya collaboration na DJ Khaled.
Wiz Kid kwa sasa anatesa na mafanikio ya wimbo wa Ojuelegba remix uliofanywa na rapa Drake, ulisikika kwa mara ya kwanza kwenye tovuti ya Apple Music.
Skepta ambaye ni rafiki na shabiki wa Wiz Kid alimsikilizisha Drake wimbo huo na Drake kuufanyia remix.
0 comments:
Post a Comment