Habari kutoka Ghana zinasema wasanii wawili wakubwa wa muziki wamekataa kutia saini mikataba mikubwa na kampuni za simu nchini humo.
Rapa Sarkodie amekata kutia saini kwenye mkataba wa ubalozi wa kampuni ya simu ya tigo wenye thamani ya dola $250,000 na Stonebwoy amepiga chini mkataba wa dola $80,000.
Sababu ya kukataa mikataba hii imetajwa kuwa ni pesa ndogo inayotolewa kwa majina na kazi walizofanya kuyapata.
0 comments:
Post a Comment