Kupitia kurasa yake ya twitter rapa Iggy Azalea amethibitisha kuwa Jidenna amesample wimbo wake wa ‘Fancy’ na kufanya wimbo “Classic Man” na producer Dj Mustard na kwamba asilimia flani ya pesa zinazotokana na mauzo ya wimbo huo analipwa yeye.
Home »
» Rapa Iggy Azalea athibitisha wimbo wa ‘Classic Man’ wa Jidenna ni sample ya wimbo wake “Fancy
Rapa Iggy Azalea athibitisha wimbo wa ‘Classic Man’ wa Jidenna ni sample ya wimbo wake “Fancy
Posted by Dj wille zedon
Posted on 00:06
with No comments
Kupitia kurasa yake ya twitter rapa Iggy Azalea amethibitisha kuwa Jidenna amesample wimbo wake wa ‘Fancy’ na kufanya wimbo “Classic Man” na producer Dj Mustard na kwamba asilimia flani ya pesa zinazotokana na mauzo ya wimbo huo analipwa yeye.
0 comments:
Post a Comment