Ni habari nzuri kwa rapa Tyga ambaye hivi karibuni album yake mpya ‘The Gold Album’ imeuza kopi chache sana za album yake. Tyga ametangazwa kuwepo kwenye filamu ya action na vituko ya mwigizaji Bruce willis.
Mastaa wengine kwenye filamu hii ni David Arquette, Jason Momoa, Adam Goldberg, Famke Janssen, John Goodman, n Kal Penn.
0 comments:
Post a Comment