Staa wa Rnb Tamar Braxton anatafuta mapenzi ya ukweli kwenye video ya wimbo wake mpya “If I Don’t Have You.”
Tamar alisema wimbo huu sio kuhusu mume wake Vincent Herbert. “ Wimbo unahusu X wake wa zamani aliyempenda ila hakumpenda kwahio alikuwa kwenye mahusiano peke yake”. Wimbo upo kwenye album mpya ya Tamar Calling All Lovers inatoka July 31.
0 comments:
Post a Comment