J. Cole amebuni viatu na mabegi kwaajili ya chapa ya Bally’s kwenye bidha zao zao mwaka 2015 kwa mujibu wa The New York Times.
“Akiongelea kufanya kazi na kampuni hio J Cole amesema nimeshawishiwa na jinsi hii kampuni ilivyogusa maisha ya watu sehemu tofauti duniani mpaka Bob Marley amewahi kuvaa viatu vyao,” Viatu vita patikana kwa rangi tatu ambazo ni eggplant, snakeskin na olive green.
0 comments:
Post a Comment