Macho na masikio ya mashabiki wa Diamond ilikuwa ni kuona Diamond Platnumz nae anafanya Collabo na Ne-yo…Jambo hilo limekamilika jana na tayari Diamond Platnumz wameandaa ngoma ambayo inasemekana itakuwa hit song.
Kupitia Mtandao wa Instagram Diamond ameandika “Thanks alot my Brother @neyo and the Whole Compound Crew had a great Session, and it was realy nice working with you…can’t wait for the World to hear this Hit Song!! @Diamondplatnumz ft @neyo ….. Cc @sheddyclever @Compoundu @thecorpshow @Jullianl #AfricaTotheWorld“
0 comments:
Post a Comment