Msanii wa RnB maarufu nchini Tanzania “RAMA D” ambae makazi yake kwa sasa ni nje ya Tanzania, ametoa hisia zake kuhusu wasanii wa Bongo na ugumu wa maisha.
Rama D amepost kwenye mtandao wa Twitter kwamba anamuomba Mungu awasaidie Wasanii hao maana nia sio yao ila hawana jinsi bali hali ni ngumu kwao kimaamuzi.
Hii ni post ambayo ameiandika kwenye mtandao huo
0 comments:
Post a Comment