TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Davido alivyomsaidi kijana wa huyu kutimiza ndoto zake.

Davido alivyomsaidi kijana wa huyu kutimiza ndoto zake.

                              davido

Msanii wa Nigeria Davido alisema july mwaka huu kuwa akifikisha followers milioni moja kwenye instagram atampa mtu Naira milioni moja.
August 12 2015 Davido alikuwa Mnigeria wa kwanza kwenye mtandao wa instagram kufikisha mashabiki naira milioni moja ambazo ni kama 10,745,565 za Tanzania na alichagua kumpa kijana Olajide Daniel Sanyaolu naira milioni moja kwaajili ya kulipia ada ya shule.
Olajide Daniel Sanyaolu alifungua account ya GoFundMe ili kuchangisha pesa za kwenda shule nzhini uigereza na alihitaji £24,700 na kabla hajapewa pesa na Davido alikuwa 
                                           davido 23
              davido 24
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger