Msanii wa Uganda ambae yuko chini ya kampuni ya Jose Chameleone Leone Island Ronald Semawere aka Guvnor ametangaza kumuoa mchumba wake Mzungu mwenye umri wa miaka 70 na yeye akiwa na miaka 28.
Bibi huyu ni raia wa Sweden amekuwa akiripotiwa kuwa na miaka 68 na sio 70. Guvnor amekuwa akipambana na maneno ya watu kuhusu umri wa mwanamke huyo na jee wataweza kuwa na watoto.
0 comments:
Post a Comment