Mwimbaji wa Nigeria Kcee anayefahamika kwa hit kama ‘Limpopo’ amepata nafasi ya kukutana na C.E.O Wa Konvict music records na Kon Live Distribution ‘Akon’ alivyokuwa Nigeria.
Akon alikuwa kwenye project yake ya Light Up Africa Akon kwenye mji wa Lagos na alishukia kwenye hotel ya Eko. Kcee ameonekana akiwa kwnye mazungumzo marefu na Akon yanayosemekana kuwa ni biashara zaidi.
Kcee pia amefanya wimbo na Sheta wa Tanzania ‘Shikorobo’.
0 comments:
Post a Comment