Msanii kutoka Nigeria Timaya ameonekana kwenye visiwa vya Barbados kwenye tamasha la muziki akiwa na Bad girl Riri aka Rihanna. Timaya na Rihanna walipiga picha pamoja na baadae Riri alionekana akicheza wibo wa Ti,aya ‘Bum Bum’. Inasemekana kuna collabo inakuja na itafanywa na Don Jazzy.
Home »
» Picha,Timaya wa Nigeria akutana na Rihanna, Riri aupenda wimbo wa Bum Bum.
Picha,Timaya wa Nigeria akutana na Rihanna, Riri aupenda wimbo wa Bum Bum.
Posted by Dj wille zedon
Posted on 03:42
with No comments
Msanii kutoka Nigeria Timaya ameonekana kwenye visiwa vya Barbados kwenye tamasha la muziki akiwa na Bad girl Riri aka Rihanna. Timaya na Rihanna walipiga picha pamoja na baadae Riri alionekana akicheza wibo wa Ti,aya ‘Bum Bum’. Inasemekana kuna collabo inakuja na itafanywa na Don Jazzy.
0 comments:
Post a Comment