Imekuwa Weekend nzuri kwa familia ya Timaya baada ya kutangaza rasmi kuwa wamepat jina la mtoto wao wa kike. Mtoto huyu mwenye mwezi mmoja na siku chache amepewa jina Grace.
Pia kuhusu zile tuhuma za ubakaji zilizoletwa mbele ya mashabiki wa Timaya na mwanamke aliyefahamika kama Shella B zinaendelea kuharibu maisha ya Timaya baada ya dada huyo kuonyesha repoti ya polisi inayohusishwa na tukio hilo. Je Timaya hataruhusiwa tena kwenye kufanya show nchini Marekani ?
Mpaka Shella B ametoa wimbo unaozungumzia tukio lote la kubakwa na Timaya.
0 comments:
Post a Comment